Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASISITIZA UZINGATIAJI WA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA

 Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama (kushoto) akisisitiza uzingatiaji wa Kanuni za ...

 Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama (kushoto) akisisitiza uzingatiaji wa Kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma wakati wakijadili mada ya umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma na mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
 Mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro (kulia) akimuuliza swali Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama (katikati) wakati wakijadili umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
 Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama (kushoto) akimsikiliza mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro (kulia) wakati wakijadili mada ya umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
Mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro (kulia) akifungua mjadala wa mada ya umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma alioufanya na  Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASISITIZA UZINGATIAJI WA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASISITIZA UZINGATIAJI WA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA
https://3.bp.blogspot.com/-vixPS8JU_YM/VsXdyfn78DI/AAAAAAADfG4/jEBEqo6v59c/s640/rd3.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-vixPS8JU_YM/VsXdyfn78DI/AAAAAAADfG4/jEBEqo6v59c/s72-c/rd3.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/ofisi-ya-rais-utumishi-yasisitiza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/ofisi-ya-rais-utumishi-yasisitiza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago