Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM MJINI DODOMA

 Mjumba wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akimkaribisha, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipowasili, Ikuu Ndo...

 Mjumba wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akimkaribisha, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipowasili, Ikuu Ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, kuendesha Kikao Cha Kamati Kuu Maalum ya CCM
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa na Mjumba wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli alipowasili, Ikuu Ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, kuendesha Kikao Cha Kamati Kuu Maalum ya CCM
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni Rais Magufuli
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi, baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mumbe wa Kamati Kuu, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa,  baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu mwenzake, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Maaliwa
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli kabla ya kikao kuanza. Katikati yao ni Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
 Viongozi hao wakiendelea na mazungumzo ya hapa na pale kabla ya kikao kuanza
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu akaya Kikwete akifurahia ambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kabla ya kikao kuanza 
 Wajumbe wakisimama ukumbini kumlaki Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kabla ya kikao kuanza
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk John Magufuli na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa ukumbini
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Katibu wa NEC anayeshughulikia mambo ya Nje Dk. Asha-Rose Migiro ukumbini. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhavi akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ally Vuai na Balozi Seif Ali Idd  ukumbini
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Pindi Chana na Asha Aboud wakibadilishana mawazo ukumbini 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa utangulizi kumkaribisha Mwenyekiti kufungua kikao
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Rais Dr John Magufuli na Katibu Mkuu Abdurahman Kinana.Picha na Bashir Nkoromo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM MJINI DODOMA
MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM MJINI DODOMA
https://2.bp.blogspot.com/-mf6ZUVpTLdE/VrdhFLF7aSI/AAAAAAAA9HA/ljuucjJCiEk/s640/DSC_0307.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-mf6ZUVpTLdE/VrdhFLF7aSI/AAAAAAAA9HA/ljuucjJCiEk/s72-c/DSC_0307.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-mstaafu-jakaya_7.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-mstaafu-jakaya_7.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago