Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZINDUA JENGO LA OFISI YA CCM KIBAHA

Mbunge wa Kibaha Mjini Slyvester Koka akieleza kuhusu mradi wa ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Kibaha mjini mjini mkoa wa Pwani, kabla y...Mbunge wa Kibaha Mjini Slyvester Koka akieleza kuhusu mradi wa ujenzi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Kibaha mjini mjini mkoa wa Pwani, kabla ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuzindua jengo hilo


Viongozi wa CCM, Wilaya ya Kibaha mjini wakimkabidhi zawadi ya picha yake ya kuchorwa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kabla ya kutoa vyeti kwa wana CCM mbalimbali walioshiriki kwa namna moja au nyingine kuimarisha Chama..

Zifuatazo ni mfululizo wa taswira mbalimbali alivyokuwa akionekana Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipohutubia wana CCM na wananchi kwa jumla baada ya kufungua Ofisi hiyo ya CCM Wilaya ya Kibaha mjini.. Kikwete alisisitiza umuhimu wa kuchukuliwa hatua waliookisaliti chama wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita, lakini akaonya hatua kuchukuliwa kwa uangalifu ili wasije wakachukuliwa hatua kwa kupakaziwa wanachama au viongozi ambao kwa kuonekana ni wanaonekana tu kuwa kkwazo kwa wenaotaka nafasi katika uchaguzi ujao.
   Pia Mwekyekiti aliwataka WanaCCM kuzingatia ujenzi wa Uhai wa Chama kwa kuingiza wanachama wapya, kufanya vikao na pia kufanya maamuzi kwa busara
  Aidha Kikwete akikana kuhusika kwa namna yoyote kutoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha, kuufuta uchaguzi uliopita. SASA ENDELEA KUPEZUI PICHA

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO, PICHA ZAIDI TAFADHALI BOFYA HAPA

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZINDUA JENGO LA OFISI YA CCM KIBAHA
MWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZINDUA JENGO LA OFISI YA CCM KIBAHA
https://2.bp.blogspot.com/-VvkHor27rpc/VsxYlXwQfGI/AAAAAAAA_Bg/xYdoHRHPgrY/s640/DSC_0671.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-VvkHor27rpc/VsxYlXwQfGI/AAAAAAAA_Bg/xYdoHRHPgrY/s72-c/DSC_0671.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-mstaafu-jakaya_23.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-mstaafu-jakaya_23.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago