Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Watembelea Nyumba Waliyoishi mjii Singida mwaka 1975

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipiga picha na mke wake Mama Salma Kikwete,leo, mbele ya nyumba ambayo waliishi  mjii ...

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipiga picha na mke wake Mama Salma Kikwete,leo, mbele ya nyumba ambayo waliishi  mjii Singida mwaka 1975, wakati huo akiwa katibu Msaidizi wa  TANU  wilaya ya Singida mjini. Kikwete yupo mkoani Singida kwa ajili ya kuongoza Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM, ambayo kilele chake kitaifa ni kesho
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo, alipotebelea Ofisi hiyo, akiwa mkoani humo kwa ajili ya kuongoza Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM, ambayo kilele chake kitaifa ni kesho. Kushoto ni Mama Salma Kikwete, na wengine ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama Nape NNauye na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Singida Mary Maziku.(Picha na Bashir Nkoromo)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Watembelea Nyumba Waliyoishi mjii Singida mwaka 1975
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Watembelea Nyumba Waliyoishi mjii Singida mwaka 1975
https://4.bp.blogspot.com/-FGkBbvtt5NE/VrS4Twk7SkI/AAAAAAADeqg/R6e30vNkoB0/s640/1.%2BNyumba.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-FGkBbvtt5NE/VrS4Twk7SkI/AAAAAAADeqg/R6e30vNkoB0/s72-c/1.%2BNyumba.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-mstaafu-jakaya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-mstaafu-jakaya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago