Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MUFTI MKUU WA TANZANIA ABUBAKARY ZUBEIRY BIN ALLY ARUHUSIWA TOKA HOSPITALINI

Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani )  na Baadhi ya viongozi wa din...Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani )  na
Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristo na ya Kiislamu wanaounda kamati ya Amani walipofika katika  Hopisitali ya Taifa Muhimbili kumjulia baada ya kupata ruhusa kutoka katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCT) ambapo alianza kwa kumshukuru
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimwagiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu afikishe salamu hizo na kwa  Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa na pamoja na wote waliofika kumjulia hali na mungu awaongoze na Rais awaangalie madaktari kwa jicho la tatu na awaongezee uwezo, hayo yalizungumzwa na mufti wakati waziri huyo alizipofika  kwa niaba ya Serikali na kuahidi salamu hizo zitamfikia Rais Magufuli. mwisho  mufti aliwashukuru waandishi wa habari kwa wao kufika mara kwa mara kumjulia hali (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (katikati) akiwa na wenzake waliofika kumjulia hali Mufti
 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila  akisoma maelezo kwa niamba ya familia ya MuftiCOMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MUFTI MKUU WA TANZANIA ABUBAKARY ZUBEIRY BIN ALLY ARUHUSIWA TOKA HOSPITALINI
MUFTI MKUU WA TANZANIA ABUBAKARY ZUBEIRY BIN ALLY ARUHUSIWA TOKA HOSPITALINI
https://2.bp.blogspot.com/-PciXzQPtVNE/Vr-CJnpL2-I/AAAAAAAAVIA/ByEHl77lLCw/s640/1.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-PciXzQPtVNE/Vr-CJnpL2-I/AAAAAAAAVIA/ByEHl77lLCw/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/mufti-mkuu-wa-tanzania-abubakary.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/mufti-mkuu-wa-tanzania-abubakary.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago