Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI-IGP ERNEST MANGU AWAAPISHA MAKAMISHNA WA POLISI WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS DR JOHN MAGUFULI

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Simon Sirro baada ya kupandishwa cheo  na Mhes...

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Simon Sirro baada ya kupandishwa cheo  na Mheshimiwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Albert Nyamuhanga baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Fedha na Logostiki wa Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Robert Boaz baada ya kupandishwa cheo  na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri wa Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Intelijensia wa Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, CP Nsato Marijani baada ya kupandishwa cheo  na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu (kushoto) akimpongeza Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Nsato Marijani baada ya kumuapisha leo Makao makuu ya Jeshi la Polisi. CP Nsato Marijani amepandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi. (Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi).

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI-IGP ERNEST MANGU AWAAPISHA MAKAMISHNA WA POLISI WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS DR JOHN MAGUFULI
MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI-IGP ERNEST MANGU AWAAPISHA MAKAMISHNA WA POLISI WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS DR JOHN MAGUFULI
https://1.bp.blogspot.com/-zlB9UOJRzMo/VsMzWoQaEEI/AAAAAAADfAY/TX1usa3YveU/s640/PICHA%2BNAMBA%2B1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-zlB9UOJRzMo/VsMzWoQaEEI/AAAAAAADfAY/TX1usa3YveU/s72-c/PICHA%2BNAMBA%2B1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/mkuu-wa-jeshi-la-polisi-nchini-igp.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/mkuu-wa-jeshi-la-polisi-nchini-igp.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago