Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kufadhili Michuano ya Kimataifa ya Timu za JKU na Mafunzo kwa Kununua Tiketi Zote za Michezo hiyo na kutowa Bure kwa Wananchi Kujionea Michuano Hiyo ya Kombe la CAF Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Balraza la Michezo Zanzibar BMZ  akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha kwa timu za JKU na Mafunzo za ...

Makamu Mwenyekiti wa Balraza la Michezo Zanzibar BMZ  akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha kwa timu za JKU na Mafunzo za mchezo wao wa Kombe la CAF inayotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Meneja wa Makampuni ya Hoteli za Ocean View Zanzibar Jacob Makundi akizungumza na Waandishi wa habari na Viongozi na Wachezaji wa Timu za JKU na Mafunzo wakati wa kukabidhi fedha za ununuzi wa tiketi wa michuano hiyo inayoandaliwa na CAF Championc Leagua na Confederation Cup 2016. na kuahidi kutowa gharama zote za michezo hiyo. inayotarajiwa kufanyika tarehe 13-2-2016 na 14-2-2016 katika uwanja wa amaan Zanzibar.
Viongozi wa Timu za JKU na Mafunzo wakimsikiliza Meneja wa Makampuni ya Zanzibar Ocean View Zanzibar akizungumza wakati wa hafla hiyo na kutoa ahadi kwa kilia Timun ikishinda mchezo wao huo wa awali itazawadiwa shilingin Milioni Tano kwa ushindi wowote ule,wakati wa hafla ya kukabidhi fedha za tiketi za mchezo huo Kampuni yake imenunua tiketi zote zenye thamani ya shilingi miliono tano kila moja na kutowa fursa kwa Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar kuona mapambano hayo bure bila ya kiingilio.
Wachezaji wa Timu za JKU na Mafunzo wakiwa katika hafla hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Wachezaji wa Timu za JKU na Mafunzo wakiwa katika hafla hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Mshauri wa Kisheria wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Mhe Abdalla Juma akizungumza wakati wa hafla hiyo kwa niaba ya Kampuni hiyo kuhusiana na udhamini wa mchezo huo kwa timu za JKU na Mafunzo. na kutowa Salamu za Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni hayo Amani Ibrahim Makungu.
 Meneja wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Jacob Makundi akimkabidhiwa  Tiketi ya Mchezo wa JKU na Gaborone United Club na Kiongozi wa Timu ya JKU Khamis Mohammed, mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Kampuni ya Zanzibar Ocean View Imenunua tiketi hizo zote za mchezo huo na kutowa fursa kwa Wananchi na Wapenzi wa Michezo Zanzibar kujionea Michuano hiyo ya CAF kujionea bure. makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa hoteli hiyo Kilimani Zanzibar 
 Meneja wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Jacob Makundi akimkabidhi Milioni tano fedha za mauzo ya Tiketi ya Mchezo wa JKU na Timu ya Gaborone United Club Kiongozi wa Timu ya JKU Khamis Mohammed, mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Kampuni ya Zanzibar Ocean View Imenunua tiketi hizo zote za mchezo huo na kutowa fursa kwa Wananchi na Wapenzi wa Michezo Zanzibar kujionea Michuano hiyo ya CAF kujionea bure. makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa hoteli hiyo Kilimani Zanzibar 
Meneja wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Jacob Makundi akimkabidhi Milioni tano fedha za mauzo ya Tiketi ya Mchezo wa Mafunzo na AS Vita Club ya Congo Kiongozi wa Timu hiyo Khamis Ali Machenga, mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Kampuni ya Zanzibar Ocean View Imenunua tiketi hizo zote za mchezo huo na kutowa fursa kwa Wananchi na Wapenzi wa Michezo Zanzibar kujionea Michuano hiyo ya CAF kujionea bure. makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa hoteli hiyo Kilimani Zanzibar 
Meneja wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Jacob Makundi akimkabidhi Milioni tano fedha za mauzo ya Tiketi ya Mchezo wa Mafunzo na AS Vita Club ya Congo Kiongozi wa Timu hiyo Khamis Ali Machenga, mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Kampuni ya Zanzibar Ocean View Imenunua tiketi hizo zote za mchezo huo na kutowa fursa kwa Wananchi na Wapenzi wa Michezo Zanzibar kujionea Michuano hiyo ya CAF kujionea bure. makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa hoteli hiyo Kilimani Zanzibar 
Msemaji wa ZFA Ali Cheupe akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha za mauzo ya tiketi ya mchezo wa JKU na Mafunzo, uliofadiliwac na Makampuni ya Hoteli ya Ocean View Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo kilimani Zanzibar.
Kiongozi wa Timu ya JKU akitowa shukrani kwa Timu za JKU na Mafunzo kwa ufadhili wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View kudhamini Michuano hiyo kwa kununua tiketi zote za michuano hiyo na kutowa fursa kwa wananchi kuona mchezo huo bila ya kulipa kiingilio wakati wa michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika wiki ijayo kuazia tarehe 13-2-2016 na 14-2-2016 yatakayofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar na kuwataka Wafanyabiashara wengine kujitokeza kudhamini michuano mbalimbali Zanzibar ili kukuza kiwango cha Mpira Zanzibar.
Imetayarioshwa na OthmanMapara.Blogspot 
Zanzinews.com
othmanmaulid@gmail.com. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kufadhili Michuano ya Kimataifa ya Timu za JKU na Mafunzo kwa Kununua Tiketi Zote za Michezo hiyo na kutowa Bure kwa Wananchi Kujionea Michuano Hiyo ya Kombe la CAF Zanzibar.
Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kufadhili Michuano ya Kimataifa ya Timu za JKU na Mafunzo kwa Kununua Tiketi Zote za Michezo hiyo na kutowa Bure kwa Wananchi Kujionea Michuano Hiyo ya Kombe la CAF Zanzibar.
https://1.bp.blogspot.com/-JGdkitBh8Fw/VrW7L_nppHI/AAAAAAACPMA/_Qj0U3GZ1P4/s640/DSC_0632.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-JGdkitBh8Fw/VrW7L_nppHI/AAAAAAACPMA/_Qj0U3GZ1P4/s72-c/DSC_0632.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/makampuni-ya-hoteli-ya-zanzibar-ocean.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/makampuni-ya-hoteli-ya-zanzibar-ocean.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago