Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AANZA SHUGHULI MBALI MBALI ZA MAENDELEO KUELEKEA SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA KWA CCM Inbox

Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Mary Maziku (kushoto)akisoma taarifa ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ...


Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Mary Maziku (kushoto)akisoma taarifa ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana . 
Wajumbe wa Kamati ya Siasa CCM mkoa wakisikiliza wakati Kaimu Katibu wa Mkoa Ndugu Mary Maziku akiwakilisha taarifa za maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye ofisi za CCM mkoa wa Singida. 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Singida mara baada ya kupokea taarifa za maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi jengo la CCM mkoa wa Singida ikiwa sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM.

PICHA NA MICHUZI JR-MMG-SINGIDA

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AANZA SHUGHULI MBALI MBALI ZA MAENDELEO KUELEKEA SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA KWA CCM Inbox
KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AANZA SHUGHULI MBALI MBALI ZA MAENDELEO KUELEKEA SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA KWA CCM Inbox
https://4.bp.blogspot.com/-bndTF0i6GSo/VrMuofRsWSI/AAAAAAADFpw/-6KRzjT--Dg/s640/833A6543.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-bndTF0i6GSo/VrMuofRsWSI/AAAAAAADFpw/-6KRzjT--Dg/s72-c/833A6543.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/katibu-mkuu-wa-ccm-abdulrahman-kinana_4.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/katibu-mkuu-wa-ccm-abdulrahman-kinana_4.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago