Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA 39 YA KUZALIWA KWA CCM

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani ... Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Singida .
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama makada wa CCM waliojitokeza kuwapokea yeye pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama makada wa CCM waliojitokeza kuwapokea yeye pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambao wamewasili mkoani Singida tayari kwa maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani humo.
 Wakina mama wa CCM Singida mjini wakishangilia bila kujali mvua wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza  na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Singida BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA 39 YA KUZALIWA KWA CCM
KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA 39 YA KUZALIWA KWA CCM
https://1.bp.blogspot.com/-nIlb6QiAUL8/VrI7TPFI8yI/AAAAAAAAtjg/VSapauF3TWQ/s640/6.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-nIlb6QiAUL8/VrI7TPFI8yI/AAAAAAAAtjg/VSapauF3TWQ/s72-c/6.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/katibu-mkuu-wa-ccm-abdulrahman-kinana.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/katibu-mkuu-wa-ccm-abdulrahman-kinana.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago