Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Ipigie Kura Filamu ya MPANGO MBAYA katika Shindano la AMVCA 2016 ili kuleta ushindi Tanzania

Wadau wa filamu nchini tunaomba muendelee kuipigia kura filamu yetu ya Mpango Mbaya ilichezwa na washiriki wachanga kabisa ambao ni z...


Wadau wa filamu nchini tunaomba muendelee kuipigia kura filamu yetu ya Mpango Mbaya ilichezwa na washiriki wachanga kabisa ambao ni zao la Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Msimu wa Kwanza
Filamu ya Mpango Mbaya ni moja ya filamu nzuri na yenye ubora wa hali ya juu na ndio sababu kubwa iliyopelekea kuingia katika Kinyanganyiro cha African Magic Viewers Choice Awards 2016 katika kipengele cha BEST MOVIE - EAST AFRICA.
Jinsi ya Kupiga Kura tembelea tovuti hii amvca2016 awards.dstv.com/nominees/best-movie-east-africa_2 
Na kama hauna akaunti DSTV unachotakiwa ni kujisajili kupitia kiunganishi hiki http://africamagic.dstv.com/ halafu nenda sehemu ya AMVCA halafu pigia kura kipengele cha BEST MOVIE - EAST AFRICA chagua MPANGO MBAYA hapo utakuwa umeiwezesha filamu ya MPANGO MBAYA kuisaka nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania nchini Nigeria. Tuendelee Kupiga Kura Ili Tulete Heshima Nyumbani ni Zamu ya FIlamu sasa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Ipigie Kura Filamu ya MPANGO MBAYA katika Shindano la AMVCA 2016 ili kuleta ushindi Tanzania
Ipigie Kura Filamu ya MPANGO MBAYA katika Shindano la AMVCA 2016 ili kuleta ushindi Tanzania
https://4.bp.blogspot.com/-IoNBc23wMrE/Vsr9S6E7mCI/AAAAAAAAjw0/yauJ4srtFu8/s640/mpango.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-IoNBc23wMrE/Vsr9S6E7mCI/AAAAAAAAjw0/yauJ4srtFu8/s72-c/mpango.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/ipigie-kura-filamu-ya-mpango-mbaya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/ipigie-kura-filamu-ya-mpango-mbaya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago