Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

AFISA UHUSIANO TTCL AFARIKI DUNIA

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bi. Amanda Fredrick Luhanga. -- OFISA Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)...


Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bi. Amanda Fredrick Luhanga.
--
OFISA Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bi. Amanda Fredrick Luhanga, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia Jumamosi Februari 27, 2016. Taarifa ya kifo cha Bi. Amanda imethibitishwa na Meneja Uhusiano wa TTCL, Bw. Nicodemus Thom Mushi.

 "...Ni kweli, Bi Amanda amefikwa na umauti akiwa likizoni mkoani Mbeya alikokwenda kuwasalimu ndugu zake.. Aliugua ghafla Alhamisi hii na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hadi usiku wa kuamkia Jumamosi ambapo Mungu alimchukua," alisema Bw. Thom Mushi.

 Alifafanua kuwa mwili wa marehemu utasafirishwa siku ya Jumapili, kutoka Mbeya kwenda Njombe na Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumatatu tar 29.02.2016 katika Kijiji cha Mlangali, Ludewa, Mkoa wa Njombe.

 Mtandao huu unatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Bi. Amanda Fredrick Luhanga kwa msiba mkubwa uliowafika. Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Apumzike kwa Amani.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: AFISA UHUSIANO TTCL AFARIKI DUNIA
AFISA UHUSIANO TTCL AFARIKI DUNIA
https://4.bp.blogspot.com/-884M7TQKqWA/VtKxxfWPcAI/AAAAAAADfXc/LUsVQktT-xg/s640/Ofisa%2BUhusiano%2Bwa%2BKampuni%2Bya%2BSimu%2BTanzania%2B%2528TTCL%2529%252C%2BBi.%2B%2BAmanda%2BFredrick%2BLuhanga..jpg
https://4.bp.blogspot.com/-884M7TQKqWA/VtKxxfWPcAI/AAAAAAADfXc/LUsVQktT-xg/s72-c/Ofisa%2BUhusiano%2Bwa%2BKampuni%2Bya%2BSimu%2BTanzania%2B%2528TTCL%2529%252C%2BBi.%2B%2BAmanda%2BFredrick%2BLuhanga..jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/02/afisa-uhusiano-ttcl-afariki-dunia.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/02/afisa-uhusiano-ttcl-afariki-dunia.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago