Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri wa Mazingira na Muungano January Makamba akutana na Balozi wa Finland na Norway

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Finland nchini Bw...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Finland nchini Bw. Pekke Hukka. Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto) akiongea na Balozi wa Norway nchini Bi. Hanne-Marie Kaarstad. Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri wa Mazingira na Muungano January Makamba akutana na Balozi wa Finland na Norway
Waziri wa Mazingira na Muungano January Makamba akutana na Balozi wa Finland na Norway
http://3.bp.blogspot.com/-3KAOz5yvmJs/Vo0EJmLfesI/AAAAAAADdXs/vV5MpDC2S1s/s640/nur1.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-3KAOz5yvmJs/Vo0EJmLfesI/AAAAAAADdXs/vV5MpDC2S1s/s72-c/nur1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-wa-mazingira-na-muungano-january.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-wa-mazingira-na-muungano-january.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago