Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga azindua kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim-Son of Afica

  Hivi ndivyo uso wa kitabu hicho   u navyoonekana .   W aziri Mahiga akikata utepe, kama ishara ya kuzindua kitabu hicho.   W...

 Hivi ndivyo uso wa kitabu hicho unavyoonekana.
 Waziri Mahiga akikata utepe, kama ishara ya kuzindua kitabu hicho.
 Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb), mwenye tai ambaye ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim (Salim Ahmed Salim: Son of Afica), kitabu kinachozungumzia historia iliyotukuka ya Dkt. Salim ndani ya Tanzania, Afrika na Duniani kwa ujumla, wakiwa wameshikilia kitabu hicho baada ya kuzinduliwa rasmi tarehe 21-01-2016, katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mahiga akimpongeza Dkt. Salim, muda mfupi baada ya kuzindua kitabu chake.

  Dkt. Salim Ahmed Salim (kulia), na Mwakilishi wa Kituo cha Kutatua Migogoro Barani Afrika, (Centre for Humanitarian Dialogue-CHD), Bw. Mohamed Omary wakionyesha Fremu yenye Mashairi ya kumsifu Dkt. Salim, huku Waziri Mahiga akishuhudia tukio hilo.
 Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb), ambaye ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim (Salim Ahmed Salim: Son of Afica),akimzungumzia historia iliyotukuka ya Dkt. Salim Ahmed Salim, kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho.
 Mwanasheria nguli, Profesa Issa Shivji, akitoa muhtasari kitabu hicho kwa wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.
Dkt. Salim Ahmed Salim, akitoa maneno ya Shukrani kwa heshima aliyopewa kwa Mwandishi wa kitabu hicho lakini kwa wadau wote waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wa kitabu chake.
 Mhariri wa kitabu hicho, Dkt. Jackkie Cilliers akizungumza katika hafla hiyo. 
 Mgeni Rasmi, Waziri Augustine Mahiga akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuzindua kitabu cha Dkt. Salim katika hafla iliyofanyika tarehe 21-01-2016 katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salim.
 Waziri Mahiga akifurahia jambo na Dkt. Salim.
 Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thami Mseleku (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Malawi hapa nchini, Mhe. Eugene Segore Kayihura nao wakifuatilia uzinduzi wa kitabu hicho.
 Aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (Katikati), akiwa na wageni mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.
 Muongozaji wa shughuli hiyo, Bw. Hamza Kasongo akiendelea na kazi yake.
Aliyekua Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akisalimiana na baadhi ya wageni waliohudhuria hafla hiyo.PICHA NA REUBEN MCHOME.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga azindua kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim-Son of Afica
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga azindua kitabu cha Dkt. Salim Ahmed Salim-Son of Afica
http://4.bp.blogspot.com/-EQI1clX6qBs/VqJPPwi4I5I/AAAAAAADd_4/7kTL9LDKj84/s640/719A4417.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-EQI1clX6qBs/VqJPPwi4I5I/AAAAAAADd_4/7kTL9LDKj84/s72-c/719A4417.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-wa-mambo-ya-nje-ushirikiano-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-wa-mambo-ya-nje-ushirikiano-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago