Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP)

  Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayoh...

 Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ikiwemo majumuisho ya ziara yake aliyoifanya hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Bwana Amon Mpanju, leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa mashtaka Biswalo Mganga akieleza mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Harrison Mwakyembe (kushoto) pamoja na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) moja ya kazi walizozifanya ikiwemo kuwashataki waliopatikana na hatia ya madawa ya kulevya pamoja na uchomaji wa moto madawa hayo yaliyokamatwa kwa mwaka uliopita wa 2015 wakati walipokutana na Waandishi wa Habari leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam
 
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa toka Waziri wa Katiba na Sheria pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka (hawapo pichani) leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP)
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT. HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP)
http://3.bp.blogspot.com/-SIVgcItDzyE/VovavotmXKI/AAAAAAADdQc/iEgZQAuEvyE/s640/PIX%2B1..JPG
http://3.bp.blogspot.com/-SIVgcItDzyE/VovavotmXKI/AAAAAAADdQc/iEgZQAuEvyE/s72-c/PIX%2B1..JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-wa-katiba-na-sheria-dkt-harrison.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-wa-katiba-na-sheria-dkt-harrison.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago