Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI MKUU KASSM MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE MJINI DODOMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Nduga...

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah. )
  Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akitoa mada katika mkutano w wabunge , bungeni mjini Dodoma Januari 22, 20167. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah.
 Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah

   Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah
 Wabunge, Jenista Mhagama wa Peramiho (kushoto) na January Makamba  wakiteta katika mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo  na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari wakati aaliposalimiana naye  kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI MKUU KASSM MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU KASSM MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE MJINI DODOMA
http://3.bp.blogspot.com/-tmJeNzq_ZZg/VqJGezwvvuI/AAAAAAADd7Y/6n1fxso4dSo/s640/LI6.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-tmJeNzq_ZZg/VqJGezwvvuI/AAAAAAADd7Y/6n1fxso4dSo/s72-c/LI6.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-mkuu-kassm-majaliwa-aongoza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-mkuu-kassm-majaliwa-aongoza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago