Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mte...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya
Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa marehemu mjini
Dodoma Januari 26, 2016.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akiwapa pole wafiwa baada ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa
Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda
nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016.


Baadhi ya waombolezaji
walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala
ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda iliyofanyika nyumbani kwake
mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)