Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri Mahiga apokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi mpya wa UNICEF nchini

Mhe. Waziri Mahiga (kulia), akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Bi. Maniza Zaman Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa A...


Mhe. Waziri Mahiga (kulia), akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Bi. Maniza Zaman
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashiriki, Kikanda na  Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.)  akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa ya Kuhudumia Watoto  (UNICEF), Bi. Maniza Zaman alipokuja Wizarani kwa ajili ya kuwasilisha  Hati za Utambulisho wake kwa Mhe. Waziri Mahiga.
Bi. Maniza Zaman naye akizungumza na Waziri Mahiga kabla ya kukabidhi Hati zake. 
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Waziri Mahiga na Bi. Zaman (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Bi. Mindi Kasiga, Bi. Eva Ng'itu, Afisa Mambo ya Nje na Katibu wa Waziri, Bw. Thobias Makoba.
Dkt. Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na Bi. Maniza Zaman.Picha na Reginald Philip

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri Mahiga apokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi mpya wa UNICEF nchini
Waziri Mahiga apokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi mpya wa UNICEF nchini
http://2.bp.blogspot.com/-P07VhSR3NYQ/Vpd1aY-bGzI/AAAAAAAAl5M/HRtKoZFdPaQ/s640/719A3821.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-P07VhSR3NYQ/Vpd1aY-bGzI/AAAAAAAAl5M/HRtKoZFdPaQ/s72-c/719A3821.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-mahiga-apokea-hati-za.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-mahiga-apokea-hati-za.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago