Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Qatar na Kuwait waliopo nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akifanya mazungumzo na B...


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Mhe. Abdullah Jassim Almaadadi alipofika Wizarani kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa katika wadhifa wake mpya na pia kumhakikishia ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar. Mazungumzo hayo yalifanyika tarehe 30 Desemba, 2015.
Balozi Al maadadi naye akizungumza huku Mhe. Mahiga akimsikiliza.
Mazungumzo yakiendelea
Waziri Mahiga akiagana na Balozi Al Maadadi mara baada ya kumaliza mazungumzo.

.......Mkutano na Balozi wa Kuwait nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Augustine Mahiga (kulia) akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib, alipokuja kumtembelea Wizarani na kufanya mazungumzo naye kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Kuwait na pia kumpongeza.
Balozi Mahiga akiagana na Balozi wa Kuwait mara baada ya kumaliza mazungumzo naye.Picha na Reginald Philip

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Qatar na Kuwait waliopo nchini
Waziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Qatar na Kuwait waliopo nchini
http://2.bp.blogspot.com/-Xh15WkT_4AA/VoPRQK45kHI/AAAAAAAAlbo/V9Ck3MoVZOo/s640/719A2023.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-Xh15WkT_4AA/VoPRQK45kHI/AAAAAAAAlbo/V9Ck3MoVZOo/s72-c/719A2023.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-mahiga-akutana-na-mabalozi-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/waziri-mahiga-akutana-na-mabalozi-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago