Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA YA UTEUZI KUTOKA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA – TAMISEMI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS  TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA – TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala ...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA – TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es salaam (DART) kuanzia tarehe 04/01/2016.
Uteuzi huo unafuatia kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu Bibi Asteria L. Mlambo tarehe 23/12/2015. Kabla ya uteuzi huu, Mhandisi Ronald Lwakatare alikuwa Naibu Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund Board) akishughulikia Ufuatiliaji na Tathmini. Mhandisi Lwakatare anatakiwa kuripoti na kuanza kazi mara moja.
Imetolewa na
 Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Ofisi ya Rais – TAMISEMI,
 Januari 05, 2016

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA YA UTEUZI KUTOKA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA – TAMISEMI
TAARIFA YA UTEUZI KUTOKA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA – TAMISEMI
http://3.bp.blogspot.com/-inpvsqkVu4A/Vovj4Z39QLI/AAAAAAADdTE/AiHa91SMY0U/s1600/NEMBO-YA-TAIFA.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-inpvsqkVu4A/Vovj4Z39QLI/AAAAAAADdTE/AiHa91SMY0U/s72-c/NEMBO-YA-TAIFA.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-ya-uteuzi-kutoka-ofisi-ya-rais.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-ya-uteuzi-kutoka-ofisi-ya-rais.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago