Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA YA UFAFANUZI KUTOKA JESHI LA POLISI KWA UMMA KUHUSU MALIPO YA UMEME KWA ASKARI POLISI

  Advera Bulimba, msemaji wa Jeshi la Polisi. --- Katika gazeti la Tanzania Daima ukurasa wa 5, toleo namba 4070 la tarehe 25 Jan...

 Advera Bulimba, msemaji wa Jeshi la Polisi.
---
Katika gazeti la Tanzania Daima ukurasa wa 5, toleo namba 4070 la tarehe 25 Januari, 2016, lilichapisha habari yenye kichwa cha habari Polisi “waisoma” namba. Sehemu ya taarifa hiyo inaeleza kuwa askari Polisi hivi sasa wanatakiwa kujilipia gharama za umeme.
 
Jeshi la Polisi nchini, linakanusha vikali taarifa hiyo kwamba siyo sahihi. Ukweli ni kwamba askari polisi wote makambini wanalipiwa umeme na serikali, ikiwemo wale ambao nyumba zao zimefungiwa luku kama njia ya kuboresha huduma na matumizi sahihi ya umeme. Baada ya askari kununua umeme hutakiwa kuwasilisha stakabadhi ya malipo ya umeme kwa ajili ya kurudishiwa kiasi cha fedha walichonunulia umeme kila mwisho wa mwezi.

Aidha, habari iliyochapishwa na Tanzania Daima ililenga kupotosha umma na mwandishi wa habari hiyo hakutafuta ufafanuzi kutoka kwenye mamlaka husika.

Kufuatia hali hiyo, Jeshi la Polisi nchini, linamtaka mhariri wa gazeti la Tanzania Daima na waandishi wake wa habari kuwa makini na habari wanazoziandika hasusani taarifa zinazohusu vyombo vya ulinzi na usalama ili kuepuka madhara ya kiusalama yanayoweza kutokea kutokana na habari wanazozitoa zisizo na usahihi.

Imetolewa na:-
  Advera Bulimba
 -SSP Msemaji wa Jeshi la Polisi,  
Makao Makuu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA YA UFAFANUZI KUTOKA JESHI LA POLISI KWA UMMA KUHUSU MALIPO YA UMEME KWA ASKARI POLISI
TAARIFA YA UFAFANUZI KUTOKA JESHI LA POLISI KWA UMMA KUHUSU MALIPO YA UMEME KWA ASKARI POLISI
http://2.bp.blogspot.com/-yvzbYIJQSwU/VqeSZTk-qVI/AAAAAAADeM0/ZYeMqpod5c8/s640/IMG_9217.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-yvzbYIJQSwU/VqeSZTk-qVI/AAAAAAADeM0/ZYeMqpod5c8/s72-c/IMG_9217.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-ya-ufafanuzi-kutoka-jeshi-la.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-ya-ufafanuzi-kutoka-jeshi-la.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago