Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Taarifa na Picha Kutoka IKULU:Rais Dr John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu na wengine wa wanne kuanzia leo kutoka na matumizi mabaya ya fedha za serikali

  Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa,Dickson Maimu  Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue a...

 
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa,Dickson Maimu
 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungmza katika mkutano na waandishi wa habari, Ikulu Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wa Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NIDA, Dickson Maimu.
---
Rais Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu (pichani) kuanzia leo.

Aidha, baada ya utenguzi  huo, Maimu amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi, pamoja na wafuatao. Mkurugenzi wa Tehama, Joseph Makani, Ofisa Ugavi Mkuu, Rahel Mapande, Mkurugenzi wa Sheria, Sabrina Nyoni na Ofisa Usafirishaji, George Ntalima.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Taarifa na Picha Kutoka IKULU:Rais Dr John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu na wengine wa wanne kuanzia leo kutoka na matumizi mabaya ya fedha za serikali
Taarifa na Picha Kutoka IKULU:Rais Dr John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu na wengine wa wanne kuanzia leo kutoka na matumizi mabaya ya fedha za serikali
http://3.bp.blogspot.com/-0zB1GTjOGuk/VqY_iHyO1xI/AAAAAAADeI4/Zh_FN67hGhQ/s1600/01.JPG
http://3.bp.blogspot.com/-0zB1GTjOGuk/VqY_iHyO1xI/AAAAAAADeI4/Zh_FN67hGhQ/s72-c/01.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-na-picha-kutoka-ikulurais-dr.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-na-picha-kutoka-ikulurais-dr.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago