Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA BARABARA YA MPANDA - KOGA - TABORA

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO  Tunapenda kutoa taarifa kwa Umma kuwa, Barabara ya M...

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
 Tunapenda kutoa taarifa kwa Umma kuwa, Barabara ya Mpanda - Koga - Tabora imefungwa kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini zilizosababisha kufurika kwa mto Koga na kufanya daraja la Koga, lililopo mpakani mwa Mikoa ya Katavi na Tabora kutopitika na hivyo kukata mawasiliano ya barabara katika mikoa hiyo.
Kutokana na kukatika kwa mawasiliano ya barabara kupitia daraja hilo, tunaomba wananchi kusitisha safari kwa kutumia barabara hiyo ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza hadi hapo barabara hiyo itakapofunguliwa mara tu baada ya maji kupungua katika eneo hilo.
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imechukua hatua hiyo kwa mujibu wa Kifungu cha 41 (1) cha Sheria ya Barabara Na. 13 ya Mwaka 2007 na Kanuni ya 8 (1) ya Kanuni za Usimamizi za Barabara za Mwaka 2009.
Wizara, inaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza katika kipindi hiki chote.
 Imetolewa na:
 Eng. Joseph Nyamhanga
KATIBU MKUU (UJENZI)
 28/01/2016

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA BARABARA YA MPANDA - KOGA - TABORA
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO KUHUSU KUFUNGWA KWA MUDA BARABARA YA MPANDA - KOGA - TABORA
http://3.bp.blogspot.com/-AnQmMdk4y7g/VqoaP-5342I/AAAAAAADeOY/lNHIPSjYgqk/s1600/nembo.png
http://3.bp.blogspot.com/-AnQmMdk4y7g/VqoaP-5342I/AAAAAAADeOY/lNHIPSjYgqk/s72-c/nembo.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-kwa-umma-kutoka-wizara-ya_28.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-kwa-umma-kutoka-wizara-ya_28.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago