Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU WAPYA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ----  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapo...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
---- 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu leo jijini Dar es Salaam.  
 
Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakiwa wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya waandishi wa habari.
Waziri Mkuu Majaliwa pia amewataka viongozi hao, kuwa waaminifu, kuwajibika na  kutoa taarifa ya utendaji kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa, viongozi wengine watakao apa mbele ya Kamishna wa Tume ya Maadili ni pamoja na  Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri, ikiwa ni hatua ya Serikali kudhibiti na kufuatilia matumizi ya rasilimali fedha.

“Wakuu wa Wilaya watahakikisha fedha zilizoenda katika Halmashauri zao lazima zitumike katika shughuli zilizokusudiwa” alisema Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu alitoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa na imani na Serikali ya Awamu ya Tano, kwakuwa itatimiza ahadi zote ambazo Mheshimiwa Rais na Makamu wa Rais walizitoa wakati wa Kampeni.

Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu hao, wameapishwa na Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli, ambapo shughuli hiyo ilihudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mke wa Mheshimiwa Rais mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
2 MTAA WA MAGOGONI
S.L.P 3021
1141O DAR ES SALAAM
IJUMAA, JANUARI 1, 2016.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU WAPYA
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU WAPYA
http://2.bp.blogspot.com/-dIxrecn1HHQ/VoaDnUIegQI/AAAAAAADdIY/AhYcworKE9g/s1600/13.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-dIxrecn1HHQ/VoaDnUIegQI/AAAAAAADdIY/AhYcworKE9g/s72-c/13.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-kwa-umma-kutoka-ofisi-ya-waziri.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-kwa-umma-kutoka-ofisi-ya-waziri.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago