Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Taarifa Kwa Umma Kutoka IKULU:Rais Dr John Magufuli Atuma Salamu Za Pole Kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba

  Inspekta - Gerald Ryoba ----  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambira...  Inspekta - Gerald Ryoba
---- 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa Nchini IGP Ernest Mangu kufuatia kifo cha msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba aliyepoteza maisha katika ajali ya kusombwa na mafuriko ya maji wakati akikatiza katika eneo la Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.

Katika ajali hiyo iliyotokea 03 Januari, 2016 Inspekta Ryoba akiwa na Mkewe na watoto wake wawili, pamoja na watu wengine wawili walikua wakisafiri kutoka Geita kuja Jijini Dar es salaam na walipofika katika eneo la Bwawani gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji na wote sita kupoteza maisha.

Rais Magufuli amempa pole nyingi Mkuu wa Jeshi la Polisi kwa msiba huo mkubwa, na amemuomba amfikishie salamu za pole kwa familia ya Marehemu Ryoba na kueleza kwamba anaungana nayo katika kipindi hiki kigumu.

"Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuondokewa na msadizi wako pamoja na familia yake, ni tukio linalotia uchungu mkubwa" amesema Mheshimiwa Rais.Aidha, Rais Magufuli amemuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na uvumilivu wafiwa wote, na aziweke roho za marehemu mahali pema peponi Amina.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
06 Januari, 2016

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Taarifa Kwa Umma Kutoka IKULU:Rais Dr John Magufuli Atuma Salamu Za Pole Kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba
Taarifa Kwa Umma Kutoka IKULU:Rais Dr John Magufuli Atuma Salamu Za Pole Kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Inspekta - Gerald Ryoba
http://1.bp.blogspot.com/-QxRm-5p0r-I/Vo0R_f0rlnI/AAAAAAADdZE/p3i3A0ZJXsQ/s1600/CX6XRF8WsAA1dIx.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-QxRm-5p0r-I/Vo0R_f0rlnI/AAAAAAADdZE/p3i3A0ZJXsQ/s72-c/CX6XRF8WsAA1dIx.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-kwa-umma-kutoka-ikulurais-dr.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/taarifa-kwa-umma-kutoka-ikulurais-dr.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago