Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu katika kipindi cha mwaka 2015/2016

 Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw.Omega Ngole akiwaeleza waandishi wa Habari leo ...

 Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw.Omega Ngole akiwaeleza waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu utolewaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015 jumla ya wanafunzi 99,069 walipata mikopo ambapo jumla ya bilioni 341 zimetolewa.kulia ni Mkurugenzi upangaji na utoaji mikopo Bw.Onesmus Laizer.
Mkurugenzi Upangaji na utoaji wa Mikopo toka Bodi ya Mikopo  kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw.Onesmus Laizer akitoa wito kwa wale wote walionufaika na mikopo kurejesha  ili kupanua wigo wautoaji mikopo hiyo na kuendana na kasi ya serikali ya awamu ya tano.
---
Frank-Mvungi-Maelezo
Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu katika kipindi cha mwaka 2015/2016 ambapo jumla ya wanafunzi 122,486 wamenufaika..
Hayo yamesemwa na Meneja wa Habari Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Omega Ngole wakati wa mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam.

“Walionufaika na mikopo katika kipindi cha 2015/2016 ni wengi na haijwahi kutokea katika Historia tangu kuanzishwa kwa Bodi  na haya ni matokeo ya utendaji mzuri wa Serikali ya awamu ya tano “alisisitiza Ngole

Akizungumzia utolewaji wa mikopo Katika kipindi cha mwaka 2014/2015 Ngole alibainisha kuwa jumla ya wanafunzi 99,069 walipata mikopo na jumla bilioni 341 zilitolewa .
Pia Ngole alibainisha kuwa Serikali imeongeza idadi ya wanaufaika wa mikopo kwa kuzingatia vipaumbele vinavyotokana na mahitaji ya Taifa.

Ngole amebainisha kuwa mafanikio hayo ni matokeo ya utekelezaji wa Falsafa ya Serikali ya awamu ya nne inayosema Hapa Kazi tu.

Aliongeza kuwa Bodi hiyo inaendelea kufanya kazi kwa kuzingatia kasi ya Serikali ya awamu ya tano itakayowezesha kutoa mikopo kwa wakati kwa kuzingatia sheria Kanuni. na Taratibu za utoaji mikopo.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria Na.9 ya mwaka 2004 na kuanza rasmi mwezi julai, 2005.ambapo Katika mwaka wa Masomo 2005/2006 idadi ya wanafunzi waliopata mikopo ilikuwa 42,749 ambapo jumla ya bilioni 56.1 zilitolewa

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu katika kipindi cha mwaka 2015/2016
Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu katika kipindi cha mwaka 2015/2016
http://2.bp.blogspot.com/-1Kl_2Tk3wnY/VpeQD_0ndvI/AAAAAAADdo4/C9PAghtgSBU/s640/ngo1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-1Kl_2Tk3wnY/VpeQD_0ndvI/AAAAAAADdo4/C9PAghtgSBU/s72-c/ngo1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/serikali-imetumia-bilioni-459.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/serikali-imetumia-bilioni-459.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago