Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TAA,MHANDISI SULEIMAN SAID SULEIMAN

  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete  akimpa pole mtoto wa mwishi wa marehemu, Hosam Suleiman Said Suleiman   Rais Mstaafu Jakaya Kikwete  ...

 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete  akimpa pole mtoto wa mwishi wa marehemu, Hosam Suleiman Said Suleiman
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete  akimpa pole mtoto mkubwa wa marehemu, Moahmmed Suleiman Said Suleiman
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete   akisalimiana na mdogo wa marehemu, Mhandisi Nasiri Said Suleiman
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete  akisalimiana na Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa TAA, Bw. Ramadhan Maleta
 
  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitoa mkono wa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa aliyekuwa Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini,marehemu Mhandisi Suleiman Said Suleiman.
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete  akisalimiana na Mkurugenzi wa Kazi Maalum wa TAA,  Mhandis Thomas Junior Haule
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Meneja Rasilimali Watu na Utawala, Bw. Mohamed R.Ally
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete  akimpa pole mama wa marehemu
 Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi wa  Rasilimali Watu Utawala wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini, TAA, Bw.Laurent Mwigune
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akisaini kitabu cha maombolezo.
  RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisjo Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na watoto watatu wa marehemu Mhandisi Suleiman Said Suleiman, aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Nchini, TAA, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam,Jana Januari 19, 2016 kutoa mkono wa pole. Marehemu Suleiman alifariki Jumatatu Januari 18, 2016 wakati akifanya mazoezi ya kuogelea kwenye bahari ya hindi na tayari amezikwa.
 Mama Salma Kikwete, akitoka nyumbani kwa marehemu Mhandisi Suleiman Said, baada ya kuhani msiba wake Januari 19, 2016Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said
……………………………………………………….
NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said
RAIS mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,jana  Januari 19, 2016 amehani msiba wa aliyekuwa Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini,marehemu Mhandisi Suleiman Said Suleiman. 
 
Dkt. Kikwete aliwasili nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, akifuatanana mkewe Mama Salma Kikwete majira ya saa 10;30, akitokea kijijini kake Msoga mkoani Pwani.
 
Baada ya kiwasili, nyumbani kwa marehemu Rais mstaafu alipokewa na mdogo wa marehemu,Mhandisi, Nasiri Said Suleiman, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw.  Laurent Mwigune, Mkurugenzi wa Sheria na Mawasiliano ya umma, Bw. Ramadhan Maleta, maafisa wa TAA, na wanafamiliawengine na kwenda moja kwa moja kuweka saini kitabu cha maombolezo.
 
Baada ya kufanya mazungumzo kwa muda, Watoto wawili wa marehemu ambao wanasoma nje yanchi nao waliwasili na kupata fursa ya kusalimiana na Rais mstaafu, Dkt. Kikwete.
 
Watoto hao ni pamoja na motto mkubwa wa marehemu, Mohammed Said Suleiman, na mdogo wake Said Suleiman Said.
 
Baadaye Rais alikwenda kusaliamiana na mama mzazi wa marehemu, mke wa marehemu nawafiwa wengine na kasha yeye an msafara wake kuondoka majira ya saa 11 jioni.
Mhandisi Suleiman Said Suleima, alifariki dunia Januari 18, 2016 majira ya asubuhiwakati akifanya mazoezi ya kuogelea kwenye bahari ya hindi katikati ya Magogoni na Kigamboni na kuzikwa jioni ya siku hiyo hiyo.
 
Marehemu ameacha mjane na watoto watatu, Mohammed, Said na Hosam.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TAA,MHANDISI SULEIMAN SAID SULEIMAN
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TAA,MHANDISI SULEIMAN SAID SULEIMAN
http://2.bp.blogspot.com/-Gr-pwHK1z2g/Vp-IZ5pi4RI/AAAAAAADd0M/FuFPp_GIhmk/s640/b2.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-Gr-pwHK1z2g/Vp-IZ5pi4RI/AAAAAAADd0M/FuFPp_GIhmk/s72-c/b2.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/rais-mstaafu-jakaya-kikwete-ahani-msiba.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/rais-mstaafu-jakaya-kikwete-ahani-msiba.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago