Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS DR JOHN MAGUFULI NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WASHIRIKI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM-CHADEMA LETICIA NYERERE LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha aliye...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa, wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa Marehemu Msasani Dar es salaam leo Januari 21, 2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho leo Januar 20,2016 wakati wa Mwili wa aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal walipokutana Msasani Dar es salaam leo Januari 20, 2016 wakati wa kuaga Mwili wa aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulia na Rais mstaafu Dkt. Jakaya M Kikwete, wakizungumza walipokutana leo Januari 20, 2016 Msasani Dar es salaam kwenye shuhuli ya kuaga Mwili wa aliyekua Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Marehemu Leticia Nyerere alifariki mwishoni mwa wiki Nchini Marekani alikokuwa akitibiwa.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS DR JOHN MAGUFULI NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WASHIRIKI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM-CHADEMA LETICIA NYERERE LEO.
RAIS DR JOHN MAGUFULI NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WASHIRIKI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM-CHADEMA LETICIA NYERERE LEO.
http://1.bp.blogspot.com/-D3qy25E_YwU/Vp-XHB2ElcI/AAAAAAADd3w/hsiOUxHjGf8/s640/IMG_1699.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-D3qy25E_YwU/Vp-XHB2ElcI/AAAAAAADd3w/hsiOUxHjGf8/s72-c/IMG_1699.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/rais-dr-john-magufuli-na-makamu-wa-rais.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/rais-dr-john-magufuli-na-makamu-wa-rais.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago