Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA:RAIA WA UJERUMANI AITELEKEZA FAMILIA YAKE HOTELINI DAR ES SALAAM

Raia wa Ujerumani (kulia) ambayejinalake halikupatikana maramoja, ametiwa na mbaroni na Jeshi la  Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam k...


Raia wa Ujerumani (kulia) ambayejinalake halikupatikana maramoja, ametiwa na mbaroni na Jeshi la  Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kutaka kuitoro familia yake katika  Hoteli ya Cate Dar es Salaam. Raia huyo alikuwa nchini na mkewe mwenye asili ya Afrika katika kipindi cha msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka mkewe na mtoto (4) na kuwaacha wakidaiwa deni la sh. 315,000 baada ya kuzuka ugomvi baina yao.

 Mtoto wao (4) akisaidiwa kupandishwa katika Gari
 Raia wa Ujerumani huyo akitaka kuruka toka katika Gari
 Mke wa Raia wa Ujerumani wa pili kulia akiwa anaingia katika Gari kuelekea katika Kituo cha Polisi cha Msimbazi Dar es Salaam na wapili kulia ni kaka wa mwanamke wa Raia wa Ujerumani
Wananchi wakifatilia kwa karibu

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA:RAIA WA UJERUMANI AITELEKEZA FAMILIA YAKE HOTELINI DAR ES SALAAM
PICHA:RAIA WA UJERUMANI AITELEKEZA FAMILIA YAKE HOTELINI DAR ES SALAAM
http://2.bp.blogspot.com/-gpGS_WD2Ed8/Vp47SfDUgmI/AAAAAAAAU7o/I5cuDJ-XApQ/s640/_DSC0794.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-gpGS_WD2Ed8/Vp47SfDUgmI/AAAAAAAAU7o/I5cuDJ-XApQ/s72-c/_DSC0794.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/picharaia-wa-ujerumani-aitelekeza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/picharaia-wa-ujerumani-aitelekeza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago