Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA:MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AMPONGEZA SAMATTA LEO

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiingia ukumbini na Nyota wa Soka Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Af...


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiingia ukumbini na Nyota wa Soka Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana Samatta, alipokutana na mchezaji huyo leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.Picha zote na Bashir Nkoromo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa ukumbini na Nyota wa Soka Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana Samatta, alipokutana na mchezaji huyo leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.
 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akimkaribisha Kikwete kuzungumza na waandishi wa habari, katika hafla hiyo ya kumpongeza Samatta.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu,  Kikwete akizungumza na kumpongeza Nyota wa Soka Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana Samatta (kushoto), alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kutana na mchezaji huyo leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.Kulia ni Waziri Nape.
Nyota wa Soka wa Tanzania, aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana Samatta, akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Kikwete, aliyokuwa  akiitumia katika timu ya TP Mazeembe ya Congo DRC,  katika hafla ya Kikwete iliyofanyika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kwa ajili yaRais huyo mstaafu kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo.

 JK na Samatta wakitoka ukumbini
 Samatta akiongozana na Kikwete kutoka ukumbini huku akiwa na tuzo yake
 Samatta akiongozana na Kikwete kutoka ukumbini huku akiwa na tuzo yake
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Kikwete na Waziri Nape wakirudi Ofisini baada ya kumsindikiza Samatta
Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwepo kwenye hafla hiyo leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA:MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AMPONGEZA SAMATTA LEO
PICHA:MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AMPONGEZA SAMATTA LEO
http://2.bp.blogspot.com/-8xI7J32HOEA/VpOBZsGw8JI/AAAAAAAA4Eg/JO-rAYbsPzI/s640/DSC_0009.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-8xI7J32HOEA/VpOBZsGw8JI/AAAAAAAA4Eg/JO-rAYbsPzI/s72-c/DSC_0009.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/pichamwenyekiti-wa-ccm-rais-jakaya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/pichamwenyekiti-wa-ccm-rais-jakaya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago