Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,Majaliwa akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika Bun...

Waziri
Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,Majaliwa akijibu maswali ya wabunge mbalimbali
katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika Bunge la 11
linaloendelea Mjini Dodoma

Naibu
Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akielezea juu ya ajali iliyotokea usiku
wa kuamkia leo ya kuzama kwa kivuko Wilyani Kilombero Mkoani Morogoro.

Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mhe.January
Makamba akijibu maswali yahusuyo Wizara yake katika Bunge la 11
linaloendelea Mjini Dodoma

Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge Mhe.Jenesta Mhagama
akieleza juu ya hatua zilizochukuliwa na Serikali mara baada ya kupata
taarifa za kuzama kwa kivuko Wilyani Kilombero Mkoani Morogoro watu 30
wameokolewa katiaka ajali hiyo.

Mbunge wa Ilala (CCM) Mhe. Mussa Hassan Zungu akiuliza swali katika moja ya kikao cha Bunge la 11linaloendelea Mjini Dodoma.

Waziri
Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba katika
Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.

Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi(kushoto) na
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi (kulia)
wakifatilia shughuli za Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma

Baadhi ya wabunge wakifatilia moja ya kikao katika Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.

Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura
akifatilia shughuli za Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.

Wabunge wa upinzani wakitoka ndani ya Bunge mara baada ya kuanza kujadili hotuba ya Rais./picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO