Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NAIBU WAZIRI MASAUNI AWAONYA WANAOCHAFUA SERIKALI KUHUSIANA NA OPERESHENI KAMATA WAHAMIAJI HARAMU

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akisalimiana na Naibu Kamishna wa uhamiaji Haji Hamza wakati alipofanya ziara ya kikazi ...

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akisalimiana na Naibu Kamishna wa uhamiaji Haji Hamza wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar zilizopo katika eneo la Kilimanim, kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu
 Naibu Waziri wa Mmambo ya Ndani ya Nnchi Hamad Masauni akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Kamishina Mkuu wa Uhamiaji Zanzibar alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji katika ofisi hizo zilizoko Kilimani Zanznibar.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akizungumza na wananchi wa Visiwani Zanzniabr waliokuwa wakisubiri husduma katika ofisi za Uhamijia  alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji  zilizoko Kilimani Zanznibar.
 Naibu wAZiri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akisikiliza maelezo ya hatua za maombi ya hati za kusariria  kutoka kwa afisa wa udhibiti wa hati za kusafiria katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar alipofanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujione shughuli mbalimbali za kiutendaji
Naibu WaZiri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni (kushoto) akiongozana na Kamishna wa Uhamijai Zanznibar , Johari Sururu (Kulia) kuelekea katika chumba cha kuhiofadhi kumbumbuku za waombaji hati za kusafiria. Naibu huyo alitembelea ofisi hizo kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji  katika ofisi hizo

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akikagua jarada lenye kuonyesha kumbukumbu za waombaji wa hati za kusafiria kutoka katika familia yake, aliyesimama ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzniabr Johari Sururu akifatiwa na Naibu Kamishna wa Utawala na fedha. Masauni alifanya ziara hiyo ya kikazi kwa ajili ya kujionea shighuli mbalimbali za kiutendaji.

 Kamishna wa Idara ya Uhamiaji zanzibar, Johari Sururu akitoa taarifa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni aliyefanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji katika ofisi za Uhamiaji zilizopo eneo la Kilimani Zanznibar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akizungumza na watendaji wakuu wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar alikofanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujionea shughuli za kiutendaji. Waziri huyo ametoa onyo kwa maafisa wote wanaotumia zoezi la kukamata wahamiaji haramu kinyume na agizo la serikali kuwa watachukuliwa hatua za kinidhamu

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NAIBU WAZIRI MASAUNI AWAONYA WANAOCHAFUA SERIKALI KUHUSIANA NA OPERESHENI KAMATA WAHAMIAJI HARAMU
NAIBU WAZIRI MASAUNI AWAONYA WANAOCHAFUA SERIKALI KUHUSIANA NA OPERESHENI KAMATA WAHAMIAJI HARAMU
http://2.bp.blogspot.com/-1HsKCxyjBRY/VpOx0rx-aLI/AAAAAAADdig/nB-zx1erQeM/s640/hm1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-1HsKCxyjBRY/VpOx0rx-aLI/AAAAAAADdig/nB-zx1erQeM/s72-c/hm1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/naibu-waziri-masauni-awaonya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/naibu-waziri-masauni-awaonya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago