Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MISA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA MAMA YETU LETICIA NYERERE KUFANYIKA JUMAMOSI ST EDWARD, BALTIMORE

Leticia Nyerere enzi ya uhai wake Familia ya Nyerere inependa kuwataarifu, kuwakaribisha na hatimae kujumuika nao katika misa ya ...
Leticia Nyerere enzi ya uhai wake

Familia ya Nyerere inependa kuwataarifu, kuwakaribisha na hatimae kujumuika nao katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa mama yao Leticia Nyerere itakayofanyika siku ya Jumamosi Januari 16, 2016 saa 6 kamili mchana (12 pm sharp) katika kanisa la Mtakatifu Edward lililopo Baltimore, Maryland kwenye anuani ifuatayo hapo chini.
 901 Poplar Grove Street,
Baltimore, MD 21216

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.

 Kwa maelezo na maelekezo zaidi tafadhali wasiliana na 
Margareth Mageni 240 462 9138
Emmanuel Muganda 240 447 2801
Ramadhani Kamguna 202 459 3839

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MISA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA MAMA YETU LETICIA NYERERE KUFANYIKA JUMAMOSI ST EDWARD, BALTIMORE
MISA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA MAMA YETU LETICIA NYERERE KUFANYIKA JUMAMOSI ST EDWARD, BALTIMORE
http://1.bp.blogspot.com/-0qvBxgggb9Y/VpfCr0ObzjI/AAAAAAABcBo/0zlY59w3LEU/s640/leticia-may9-2013.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-0qvBxgggb9Y/VpfCr0ObzjI/AAAAAAABcBo/0zlY59w3LEU/s72-c/leticia-may9-2013.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/misa-ya-kumbukumbu-ya-mpendwa-mama-yetu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/misa-ya-kumbukumbu-ya-mpendwa-mama-yetu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago