Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA LEO

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa hoja ya kutaka Bunge lijadili  Hotuba ya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli aliyoitoa waka...

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa hoja ya kutaka Bunge lijadili  Hotuba ya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli aliyoitoa wakati alipofungua Bunge la Kumi na Moja Novemba 20, 2015
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016.
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde  akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016.
  Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia)  akimwapisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa  , bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia)  akimwapisha Waziri wa  Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango, bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama  akijibu swali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016.
Mbunge wa Mvomero, Murad Sadiq akichangia  bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016.
Profesa Sospeter Muhongo Waziri wa Nishati na Madini kulia na Dk Philip Mpango Waziri wa Fedha na Mipango wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea bungeni leo.
Wabunge wakisikiliza hoja mbalimbali bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016.
Baadhi ya Mawaziri wa wizara mbalimbali wakisikiliza maswali na majibu Bengeni leo..(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA LEO
MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA LEO
http://4.bp.blogspot.com/-X9VAiAlniLU/VqeWHaxsXHI/AAAAAAADeNk/MI5KHI3RF_o/s640/IMGS0822.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-X9VAiAlniLU/VqeWHaxsXHI/AAAAAAADeNk/MI5KHI3RF_o/s72-c/IMGS0822.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/matukio-mbalimbali-ya-picha-katika.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/matukio-mbalimbali-ya-picha-katika.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago