Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA LUMUMBA

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Nai...


 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama.

  MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kulia ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama,.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine kutoka China.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA LUMUMBA
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA LUMUMBA
http://1.bp.blogspot.com/-iF9kzvF-jF8/VpkzU5P44hI/AAAAAAAAtDw/eftC6HO3_M4/s640/14.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-iF9kzvF-jF8/VpkzU5P44hI/AAAAAAAAtDw/eftC6HO3_M4/s72-c/14.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/makamu-mwenyekiti-wa-ccm-bara-akutana.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/makamu-mwenyekiti-wa-ccm-bara-akutana.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago