Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KUTOKA UWANJA WA FURAHISHA JIJINI MWANZA KATIKA MAOMBI YA KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI.

January 13,2016 Umoja wa Makanisa Jijini Mwanza unawakutanisha Watanzania katika Uwanja wa Furahisha uliopo katika Manispaa ya Ilemela M...

January 13,2016 Umoja wa Makanisa Jijini Mwanza unawakutanisha Watanzania katika Uwanja wa Furahisha uliopo katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza kwa ajili ya Maombi ya rasmi ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Wasaidizi wake ili kuliongoza Taifa vema.

Pia maombi hayo ni mahususi kwa ajili ya kuliombea Taifa kwa ajili ya kupata baraka mbalimbali. Kuanzia majira ya saa saba Wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wameanza kujongea kwa ajili ya kujumuika pamoja katika maombi hayo ambayo yatafikia tamati jioni.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo huku wageni mbalimbali wakiwemo Viongozi wa dini pamoja na waimbaji nyimbo za injili wakihudhuria katika maombi hayo.Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KUTOKA UWANJA WA FURAHISHA JIJINI MWANZA KATIKA MAOMBI YA KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI.
KUTOKA UWANJA WA FURAHISHA JIJINI MWANZA KATIKA MAOMBI YA KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI.
http://4.bp.blogspot.com/-AVEK6b_1mys/VpY6tC3WBtI/AAAAAAAAIvI/UFmj77cauSY/s640/1.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-AVEK6b_1mys/VpY6tC3WBtI/AAAAAAAAIvI/UFmj77cauSY/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/kutoka-uwanja-wa-furahisha-jijini.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/kutoka-uwanja-wa-furahisha-jijini.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago