Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KIKUNDI CHA TUWAJALI FOUNDATION CHAANZA MWAKA KWA KUSAIDIA KITUO CHA SIFA KILICHOPO BUNJU B DAR

Baadhi ya wanakikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada. Ba...

Baadhi ya wanakikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada.
Baadhi ya vitu vimetolewa kwa kituo cha Sifa Foundation
 Bi. Sifa (Kulia) ambaye ndiye mwanzilishi wa  kituo hicho cha Sifa Foundation akiwa anatoa shukurani kwa mmoja wa kiongozi wa Tuwajali Foundation Bw. Nurdin baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Unga, Mchele, Sabuni, Nguo na vitu vya kuchezea watoto.
Baadhi ya wanakundi la Tuwajali wakiwa katika kituo hicho na watoto
Wanakundi wa Tuwajali wakiwa pamoja na watoto hao baada ya shughuri ya kukabidhi msaada huo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KIKUNDI CHA TUWAJALI FOUNDATION CHAANZA MWAKA KWA KUSAIDIA KITUO CHA SIFA KILICHOPO BUNJU B DAR
KIKUNDI CHA TUWAJALI FOUNDATION CHAANZA MWAKA KWA KUSAIDIA KITUO CHA SIFA KILICHOPO BUNJU B DAR
http://4.bp.blogspot.com/--QOE97MwvLU/Voov7Ned42I/AAAAAAAAeuI/iN8vYYwYLeA/s640/1.jpg
http://4.bp.blogspot.com/--QOE97MwvLU/Voov7Ned42I/AAAAAAAAeuI/iN8vYYwYLeA/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/kikundi-cha-tuwajali-foundation-chaanza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/kikundi-cha-tuwajali-foundation-chaanza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago