Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KESI YA KUPINGA MATOKEO JIMBO LA TARIME VIJIJINI YARINDIMA MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA.

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza leo imeahirisha Kesi ya Kupinga Matokeo ya Ubunge katika Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Novemba 25,...

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza leo imeahirisha Kesi ya Kupinga Matokeo ya Ubunge katika Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Novemba 25,2015 Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara, iliyofunguliwa na Christopher Ryoba Kangoye ambae alikuwa Mgombea ubunge kupitia CCM katika Jimbo hilo.

Pichani ni Wakili Tundu Lisu (Katikati) ambae ni Wakili upande wa mjibu maombi wa kwanza ambae ni Mbunge wa Jimbo hilo John Heche akizungumza juu ya kesi hiyo baada ya kuahirishwa.Kesi hiyo imeahirishwa hadi January 27,2015 itakaposikilizwa tena.
Wakili Tundu Lisu (Katikati) ambae ni Wakili upande wa mjibu maombi ambae ni Mbunge wa Jimbo hilo John Heche akizungumza juu ya kesi hiyo baada ya kuahirishwa. Lisu aliiomba Mahakama kuifuta kesi hiyo kutokana na makosa mbalimbali ambayo ni pamoja na mleta maombi kushindwa kuainisha amefungua kesi kupitia sheria ipi ambayo inaitaka mahakama kufuta kesi ya uchaguzi.
Wakili Constatine Mutalemwa (Mwenye Miwani) anaetetea kesi hiyo kwa upande wa Mleta Maombi ambae anaiomba Mahakama hiyo kufuta matokeo ya Uchaguzi katika Jimbo la Tarime Vijijini kutokana na sababu mbalimbali ambazo ni pamoja kuhesabiwa kwa kura zisizo halali ambazo zilimpa ushindi Mhe.Heche.
(Picha kutoka Maktaba)
John Heche ambae ni Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini kupitia Chadema (Wa pili kushoto) akiwa na wenzie nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza
Na:Binagi Media Group

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KESI YA KUPINGA MATOKEO JIMBO LA TARIME VIJIJINI YARINDIMA MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA.
KESI YA KUPINGA MATOKEO JIMBO LA TARIME VIJIJINI YARINDIMA MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA.
http://4.bp.blogspot.com/-t0KqG3F4ImQ/Vp5J1WGh47I/AAAAAAAAI48/fEq_zd5dK4o/s640/1.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-t0KqG3F4ImQ/Vp5J1WGh47I/AAAAAAAAI48/fEq_zd5dK4o/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/kesi-ya-kupinga-matokeo-jimbo-la-tarime.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/kesi-ya-kupinga-matokeo-jimbo-la-tarime.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago