Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amezungumza na wahariri wa vyombo vya habari juu ya Mustakabali wa hali ya kisiasa visiwani Zanzibar na hatua ambayo imefikiwa hadi hivi sasa.

Katibu  Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na aliyekuwa Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama hich...


Katibu  Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na aliyekuwa Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama hicho, Maalim Seif  Shariff  Hamadi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Januari 11, 2016 katika Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam kuhusiana na suala la Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba (kushoto), Mwenyekiti wa Mambo ya Siasa wa chama hicho,Twaha Issa, Kulia ni Mshauri wa Mambo ya Siasa wa Chama hicho Bw. Mansour Yusuf.

Maalim Seif  amesema kuwa hana taarifa zozote juu ya swala la  kurudiwa kwa uchaguzi  wa Zanzibar  na badala yake ametaka kura zilizobaki zihesabiwe na mshindi aweze kutangazwa.

Amesema kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji Mstaafu Jecha Salum Jecha alikuwa hana mamlaka ya kufuta uchaguzi kutokana na hatua zote za uchaguzi.

Amesema kuwa Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi bila kuwa na wajumbe walio wengi wanaounga mkono kile wanachotaka kuamua, hali ambayo haikufanyika wakati wa kufuta uchaguzi huo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amezungumza na wahariri wa vyombo vya habari juu ya Mustakabali wa hali ya kisiasa visiwani Zanzibar na hatua ambayo imefikiwa hadi hivi sasa.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amezungumza na wahariri wa vyombo vya habari juu ya Mustakabali wa hali ya kisiasa visiwani Zanzibar na hatua ambayo imefikiwa hadi hivi sasa.
http://3.bp.blogspot.com/-b-cOo9DSaB8/VpO4viIEHNI/AAAAAAADdkg/uvYjY_jZsF4/s1600/maalim%252Bseif.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-b-cOo9DSaB8/VpO4viIEHNI/AAAAAAADdkg/uvYjY_jZsF4/s72-c/maalim%252Bseif.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/katibu-mkuu-wa-cuf-maalim-seif-sharif.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/katibu-mkuu-wa-cuf-maalim-seif-sharif.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago