Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI RWEGASIRA ALITAKA JESHI LA ZIMAMOTO KUONGEZA KASI KUKUSANYA MAPATO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wapili kushoto) akiwasili Ofisi za Makao Makuu ya Je...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wapili kushoto) akiwasili Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba, kulia ni Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha. Katika hotuba yake, Rwegasira alilipongeza jeshi hilo kwa utendaji wa kazi mzuri na kulitaka liongeze kasi zaidi katika ukusanyaji wa mapato. 
 Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (kulia) akitoa taarifa ya utendaji wa Jeshi lake kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) wakati Katibu Mkuu huyo alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Rwegasira alilipongeza jeshi hilo kwa utendaji wa kazi mzuri na kulitaka liongeze kasi zaidi katika ukusanyaji wa mapato. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba. 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiongozwa na Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (wapili kulia) wakati Katibu Mkuu huyo alipofanya ziara Makao Makuu ya Jeshi hilo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Rwegasira alilipongeza jeshi hilo kwa utendaji wa kazi mzuri na kulitaka liongeze kasi zaidi katika ukusanyaji wa mapato. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba. Kulia ni Fikiri Salla, Kamishna wa Usalama kwa Umma Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, pamoja na Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo, Rogatius Kipali (kushoto).
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba (wapili kushoto) akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiongozwa na Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (kulia) wakati Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) alipoambatana na Naibu Katibu Mkuu huyo katika ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo. Katika ziara hiyo, Katibu Mkuu, Meja Jenerali Rwegasira alilipongeza jeshi hilo kwa utendaji wa kazi mzuri na kulitaka liongeze kasi zaidi katika ukusanyaji wa mapato. Kushoto ni Kamishna wa Operesheni wa Jeshi hilo, Rogatius Kipali. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wapili kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba (kulia) wakiwa na maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiongozwa na Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (watatu kulia), wakizungumza jambo mara baada ya Katibu Mkuu huyo kumaliza kulikagua jengo la ghorofa tano la Ofisi za Makao Makuu ya jeshi hilo, lililopo Tazara Mchicha jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, Rwegasira alilipongeza jeshi hilo kwa utendaji wa kazi mzuri na kulitaka liongeze kasi zaidi katika ukusanyaji wa mapato. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI RWEGASIRA ALITAKA JESHI LA ZIMAMOTO KUONGEZA KASI KUKUSANYA MAPATO
KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI RWEGASIRA ALITAKA JESHI LA ZIMAMOTO KUONGEZA KASI KUKUSANYA MAPATO
http://4.bp.blogspot.com/-bwQPEoPT2HU/Vp5IX_zb_eI/AAAAAAADdxQ/25ET9alzdvY/s640/PIX%2B1.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-bwQPEoPT2HU/Vp5IX_zb_eI/AAAAAAADdxQ/25ET9alzdvY/s72-c/PIX%2B1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/katibu-mkuu-mambo-ya-ndani-ya-nchi-meja.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/katibu-mkuu-mambo-ya-ndani-ya-nchi-meja.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago