Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KANUSHO KALI KWA UMMA KUTOKA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA KUHUSU “UVUMI WA AJIRA ZA MADAKTARI JWTZ”

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA  KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO -- Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaoeleza kuwa JWTZ...

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
 KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
--
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaoeleza kuwa JWTZ limetoa nafasi za kazi kwa vijana wenye fani ya Udaktari na kuwataka vijana hao kuripoti Makao Makuu na vyeti vyao kwaajili ya usaili.
 
Habari hizo si za kweli,JWTZ kama zilivyo taasisi nyingine za serilikali lina mfumo rasmi wa kutangaza habari zake hivyo jeshi linawaomba wananchi wazipuuzie taarifa hizo.
Aidha JWTZ linawataka wamiliki wa mitandao ya kijamii kutotoa taarifa za jeshi bila kuwasiliana na Makao Makuu ya jeshi kinyume na utaratibu huu,unawasababishia wananchi usumbufu usio wa lazima.
 
Imetolewa na 
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KANUSHO KALI KWA UMMA KUTOKA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA KUHUSU “UVUMI WA AJIRA ZA MADAKTARI JWTZ”
KANUSHO KALI KWA UMMA KUTOKA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA KUHUSU “UVUMI WA AJIRA ZA MADAKTARI JWTZ”
http://4.bp.blogspot.com/-9GaaXOzZyBQ/Vq4MvTjHRtI/AAAAAAADecY/J2R_uF5hJLs/s1600/JWTZ.png
http://4.bp.blogspot.com/-9GaaXOzZyBQ/Vq4MvTjHRtI/AAAAAAADecY/J2R_uF5hJLs/s72-c/JWTZ.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/kanusho-kali-kwa-umma-kutoka-jeshi-la.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/kanusho-kali-kwa-umma-kutoka-jeshi-la.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago