Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI MSINUNE

Flaviana Matata akikabidhi mabegi ya shule kwa watoto wa shule ya Msingi ya Msinune ambapo ameteuliwa kama mlezi wa shule hiyo kwa mwaka...

fmf msinune Flaviana Matata akikabidhi mabegi ya shule kwa watoto wa shule ya Msingi ya Msinune ambapo ameteuliwa kama mlezi wa shule hiyo kwa mwaka wa tatu sasa. fmf msinune primary school wanafunzi wa Shule ya Msinune wakikatiza na mabegi yao ambayo walikabidhiwa mwaka jana.     FmF   fmf msinune 1 
Flaviana Matata akikagua Choo cha wanafunzi kilichojengwa na FMF kwa msaada wa wadau. fmf msaada choo  Taasisi ya Flaviana Matata ilizindua rasmi msimu wa "BACK TO SCHOOL" kwa kutoa vifaa vya shule kwa jumla ya watoto 270 wa Shule ya Msingi Msinune ambayo ipo chini ya ulezi wa mwanzilishi wa #FMF na mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata. Zaidi ya kutoa vifaa vya Shule Flaviana Matata Foundation kwa kushirikiana na wadau wamefanikiwa kujenga choo na waalimu na wanafunzi shuleni hapo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI MSINUNE
FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI MSINUNE
http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2016/01/fmf-msinune-650x432.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/flaviana-matata-foundation-yatoa-msaada.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/flaviana-matata-foundation-yatoa-msaada.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago