Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016

Christian Bella akipanda jukwaani kuwasalimia mashabiki. Mashabiki wakijiachia kwa kucheza muziki dakika chache kabla ya kuanza mwaka ...


Bella d (74) Christian Bella akipanda jukwaani kuwasalimia mashabiki.Bella d (1) Mashabiki wakijiachia kwa kucheza muziki dakika chache kabla ya kuanza mwaka mpya 2016Bella d (2) Ni full kufurahia. Bella d (5)Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu za mkononi, Airtel Tanzania na wafanyakazi wa Dar Live wakiandaa maputo kwa ajili ya shamra shamra za kuukaribisha mwaka mpya 2016. Bella d (7) Bella d (8)Maputo yakipeperushwa hewani kuashiria kuanza mwaka mpya 2016. Bella d (73) Bella akitoa kionjo wakati wa kuukaribisha mwaka mpya. Bella d (27)Christian Bella (mwenye kofia nyekundu) na Mama Tunu wakitikisa chupa za shampeni. Wanaoshuhudia tukio hilo ni mashabiki pamoja na Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo (katikati mwenye shati la dratfi). Bella d (29)Zoezi la kufungua shampeni likishika kasi. Bella d (31) Bella d (32)Shampeni ya mama Tunu hiyooooo ikafunguka. Bella d (34)Bella naye akakazana. Bella d (37)Dakika zikatimia.... mwaka 2016 huoooo ukafika. Bella d (44)Bella akaanza kuwaonjesha shampeni mashabiki zake. Bella d (47)Mashabiki wakichukua picha za ukumbusho wa tukio hilo kwenye simu zao. Bella d (75) Bella d (76) Bella d (77)Bella akaanza kutoa vionjo vya nyimbo zake kali.Bella d (78)Bella acha kabisaaaaa Bella d (84)Mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.PICHA NA MUSSA MATEJA/GPL

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016
Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016
http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/Bella-d-74.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/01/dar-live-na-shangwe-za-kuukaribisha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/01/dar-live-na-shangwe-za-kuukaribisha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago