Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI CHARLES KITWANGA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akiwasili Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Kinondoni jij...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akiwasili Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Kinondoni jijini Dar es Salaam na kupokewa na Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dickson Maimu (kushoto). Waziri Kitwanga alifanya ziara ya kikazi katika ofisi hizo kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo.
 Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Brenda Joshua akimfafanulia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (aliyevaa tai), jinsi wanavyosajili taarifa mbalimbali za waombaji wa vitambulisho. Waziri Kitwanga alitembelea Kituo hicho cha Usajili na kujifunza kazi mbalimbali zinazofanywa na NIDA, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil na kulia kwa Abdulwakil ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akiieleza jambo menejimenti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya NIDA, Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abduwakil, wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Mngodo, na watatu kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dickson Maimu
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya NIDA, Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo.  Watano kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abduwakil, wanne kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Mngodo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI CHARLES KITWANGA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI CHARLES KITWANGA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
http://3.bp.blogspot.com/-WMjBZwL7x-U/VnlPuRqxd3I/AAAAAAADcxE/KDk0r9gr2_w/s640/571.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-WMjBZwL7x-U/VnlPuRqxd3I/AAAAAAADcxE/KDk0r9gr2_w/s72-c/571.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/waziri-wa-mambo-ya-ndani-ya-nchi_22.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/waziri-wa-mambo-ya-ndani-ya-nchi_22.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago