Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu na Naibu Waziri Wake Dr Hamisi Kigwangallah wakabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Dkt.Seif

  Aliyekuwa Waziri wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Usatawi wa Jamaii ya Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Seif Rashid (kushoto) akisalimian...

 Aliyekuwa Waziri wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Usatawi wa Jamaii ya Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Seif Rashid (kushoto) akisalimiana na Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Dkt. Hamisi Kigwangala (kulia) leo jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu akipokea taarifa ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Usatawi wa Jamaii ya Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Seif Rashid wakati wa kukabidhiwa rasmi ofisi leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu akimsikiliza aliyekuwa Waziri wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Usatawi wa Jamaii ya Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Seif Rashid wakati wa kukabidhiwa rasmi ofisi leo jijini Dar es salaam.
----
NA Eleuteri Mangi-MAELEZO
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Usatawi wa Jamaii ya Serikali ya Awamu ya Nne Dkt. Seif Rashid leo jijini Dar es salaam.

Akipokea ofisi hiyo, Waziri Ummy alimshukuru Dkt. Seif kwa jitihada kubwa waliyofanya ya kupambana na magonjwa kwa wananchi na kufanikisha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi duniani ambayo imetatua tatizo la ugonjwa wa polio na kuwa “polio free”.

Aidha, Waziri Ummy amemhakikishia Dkt Seif kuendelea kushirikiana naye pale msaada wake utakapohitajika kwa kuwa anauzoefu katika masuala ya afya ili kuwahudumia Watanzania na kupambana na adui wa taifa ambaye ni magonjwa.

Akikabidhi ofisi, Dkt Seif aliwapongeza Waziri Ummy Mwalimu na Naibu wake Dkt. Hamisi Kigwangalla kwa kupewa nyadhifa hizo na kuahidi kuwapa ushirikiano wake paleutakapohitajika.

Dhana ya “Hapa Kazi Tu” imechukua mkondo wake ambapo hadi sasa Mwaziri na Manaibu waziri wanatekeleza dhana hiyo kwa vitendo na siyo kukaa ofisini, kwa kwa juhudi hizo viongozi kwa kushirikiana na wananchi, Tanzania itafanikiwa kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 ikiwa na watu wenye afya bora inayowaruhusu kufanyakazi kwa juhudi na maarifa ili kuwa maendeleo yenye tija kwa Wtanzania.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu na Naibu Waziri Wake Dr Hamisi Kigwangallah wakabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Dkt.Seif
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu na Naibu Waziri Wake Dr Hamisi Kigwangallah wakabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Dkt.Seif
http://2.bp.blogspot.com/-46SrFdHdTZY/VnP8hg863OI/AAAAAAADcjw/scJQD7D79cU/s640/sei21.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-46SrFdHdTZY/VnP8hg863OI/AAAAAAADcjw/scJQD7D79cU/s72-c/sei21.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/waziri-wa-afya-maendeleo-ya-jamii.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/waziri-wa-afya-maendeleo-ya-jamii.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago