Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wakaribishwa rasmi katika Ofisi zao tayari kuanza kazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akisaini Kitabu cha W...


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akisaini Kitabu cha Wageni alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya kuapishwa. 
Mhe. Balozi Mahiga akifurahia jambo Ofisini kwake na Makatibu Wakuu wa Wizara ya  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,  Balozi Liberata Mulamula (kushoto) na Bibi Joyce Mapunjo (kulia).
Balozi Mulamula akimkabidhi Mhe. Waziri machapisho mbalimbali ya Wizara ikiwemo Sera ya Mambo ya Nje
Bibi Mapunjo akimkabidhi Mhe. waziri makabrasha mbalimbali ya iliyokuwa Wizara ya Afrika Mashariki
Mhe. Balozi Mahiga akipata picha ya pamoja na Watumishi walio katika Ofisi yake. Kutoka kulia ni Bi. Catherine Kijuu, Katibu Mahsusi wa Waziri, Bw. Thobias Makoba, Katibu wa Waziri na Bi. Nsia Paul, Katibu Mahsusi wa Waziri.
Balozi Mulamula wakati akimwongoza Mhe. Balozi Mahiga kuingia Ofisini kwake kwa mara ya kwanza

.....Naibu Waziri akiwa Ofisini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba akisaini Kitabu cha Wageni alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya kuapishwa. 
Balozi Mulamula akimkabidhi Mhe. Naibu Waziri machapisho mbalimbali ya Wizara ikiwemo Sera ya Mambo ya Nje
Mhe. Dkt. Kolimba akisaini Kitabu cha Wageni alipowasili Ofisini kwake kwa mara ya kwanza
Mhe. Dkt. Kolimba akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wake, Bw. Adam Isara
Mhe. Dkt. Kolimba akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Wizara katika Ofisi yake. Kushoto ni Bi. Eva Mnembuka na Bi. Moshi Ibrahim (kulia)Picha na Reginald Philip

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wakaribishwa rasmi katika Ofisi zao tayari kuanza kazi
Waziri na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wakaribishwa rasmi katika Ofisi zao tayari kuanza kazi
http://1.bp.blogspot.com/-8KnFuCTSlTo/VmwgtujvLTI/AAAAAAAAk-E/IUFJA3xSBCY/s640/719A0707.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-8KnFuCTSlTo/VmwgtujvLTI/AAAAAAAAk-E/IUFJA3xSBCY/s72-c/719A0707.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/waziri-na-naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje_13.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/waziri-na-naibu-waziri-wa-mambo-ya-nje_13.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago