Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA RASMI WAZIRI CHARLES KITWANGA, WIZARANI LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akipokea zawadi ya Ua kutoka kwa Mtumsihi wa Wizara hiyo, Veronica Mwafisi ...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akipokea zawadi ya Ua kutoka kwa Mtumsihi wa Wizara hiyo, Veronica Mwafisi wakati Katibu Mkuu wa Wizara, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akiwaongoza Watumishi wa wizara yake kumpokea rasmi Waziri huyo alipokuwa anawasili wizarani hapo kuanza kazi leo.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi (D/IGP), Abdurahman Kaniki wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimsalimia Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Wapili Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil ambaye aliwaongoza watumishi wa wizara yake kumkaribisha na kumtambulisha kwa watumishi, Waziri Kitwanga wizarani hapo. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Mngodo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali Pius Makuru Nyambacha, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa (kulia) wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkurugenzi wa Idara ya Sheria wa wizara hiyo, Marlin Komba, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Ernest Malugu, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akiwa ofisini kwake mara baada ya kukaribishwa rasmi wizarani hapo kuanza kazi. Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abduwakil aliwaongoza watumishi wa wizara yake kumkaribisha Waziri huyo mpya wa wizara hiyo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA RASMI WAZIRI CHARLES KITWANGA, WIZARANI LEO
WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA RASMI WAZIRI CHARLES KITWANGA, WIZARANI LEO
http://2.bp.blogspot.com/-cpPQeHUvSQY/Vm7TiOJaFSI/AAAAAAADcVI/e-REaXs-g8A/s640/tat1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-cpPQeHUvSQY/Vm7TiOJaFSI/AAAAAAADcVI/e-REaXs-g8A/s72-c/tat1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/watumishi-wa-wizara-ya-mambo-ya-ndani.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/watumishi-wa-wizara-ya-mambo-ya-ndani.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago