Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WATU 12 WAFARIKI WENGINE 18 WAJERUHIWA AJALI YA BASI LA TAQBIIR MKOANI SINGIDA

    Basi la Taqbir namba T 230 BRJ likiwa eneo la tukio. --- Na Father Kidevu Blog WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine 18 ku...

 
  Basi la Taqbir namba T 230 BRJ likiwa eneo la tukio.
---
Na Father Kidevu Blog
WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine 18 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Taqbiir kugongana na lori la mafuta mkoani Singida.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi,Thobias Sedoyeka ameithibitishia Father Kidevu Blog, kutokea kwa ajali hiyo na kusema basi lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Katoro mkoani Geita.

Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 1:30 usiku jana katika eneo Kizonzo Wilaya ya Iramba mkoani Singida ma ilihusisha basi aina ya Scania lenye namba za usajili T230 BRJ lililokuwa likiendeshwa na Charles Kikaena lililogongana na lori la mafuta T793 CBH lililokuwa na tela T273CBH lilokuwa likiendeshwa na dereva Mohamed Rajabu.

Chanzo cha ajali ni dereva wa basi aliyekua akilipita lori mali ya kampuni ya Coca Cola T314CTS lililokuwa na tela T196 BEF na kugongana na lori la mafuta na kisha lori hilo kulichana basi kuanzia mbele upande wa dereva hadi mwisho na kusababisha vifo hivyo vya watu 12 na majeruhi 18 na basi hilo lilikuwa na aburia 51.
Miongoni mwa waliokufa wanaume ni saba akiwemo mtoto mdogo mmoja na wanawake watano kati yao watoto wawili. Majeruhi wa ajali hiyo walifikishwa katika Hospitali ya serikali ya Kiomboi mkoani Singida kwa matibabu.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WATU 12 WAFARIKI WENGINE 18 WAJERUHIWA AJALI YA BASI LA TAQBIIR MKOANI SINGIDA
WATU 12 WAFARIKI WENGINE 18 WAJERUHIWA AJALI YA BASI LA TAQBIIR MKOANI SINGIDA
http://2.bp.blogspot.com/-8l-6qgmZsQo/Vl7sx6oCXqI/AAAAAAADbs4/rv8qwK9n0AM/s640/IMG-20151201-WA0122.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-8l-6qgmZsQo/Vl7sx6oCXqI/AAAAAAADbs4/rv8qwK9n0AM/s72-c/IMG-20151201-WA0122.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/watu-12-wafariki-wengine-18-wajeruhiwa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/watu-12-wafariki-wengine-18-wajeruhiwa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago