Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Wananchi jimbo la Mafia wafungua kesi Mahakama kuu kupinga ushindi wa Mbaraka Dau!!

"Watanzania wenzangu na kipekee kabisa wana Mafia wenzangu sasa ni takriban siku 40, Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu na kutangaz...

wamafia
"Watanzania wenzangu na kipekee kabisa wana Mafia wenzangu sasa ni takriban siku 40, Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu na kutangazwa washindi..kama Mtakumbuka uchaguzi wa jimbo la Mafia uligubikwa na mizengwe ya hali ya juu na ulitawaliwa na mambo mbali mbali ya ukiukwaji wa taratibu na hatimaye ukafanyika na msimamizi wa uchaguzi kumtangaza mshindi BATILI wa CCM bwana Mbaraka Dau kuwa mshindi kwa tofauti ya kura chache dhidi ya mgombea wa CUF Omary Ayoub Kimbau ambaye ndio chaguo la wana Mafia,kwa kuwa upo utaratibu wa kisheria wa kupinga matokeo katika nafasi ya ubunge tumeonelea tufanye hivyo kutafuta haki hiyo mahakamani.

.Mimi Faki Hassan mwananchi pamoja na wenzangu tumepeleka shauri hili mahakama kuu na kuitaka mahakama kuu kutengua matokeo hayo Batili na kumpa ushindi mgombea wetu wa CUF bwana Kimbau kipenzi cha wana Mafia walio wengi kwani ndie mshindi halali wa uchaguzi huo na wana Mafia wanatambua hiloKwa kuwa shauri hili liko Mahakamani siwezi kuzungumza mengi kuwa ni taratibu zipi zimekiukwa na kwa namna gani na mantiki ipi kwani tuna hakika kuwa Kimbau ndio Mshindi halali kwa sababu kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaingilia uhuru wa mahakama wa kufanya kazi yake.Niwaombe wana Mafia wenzangu na watanzania wote wapenda haki mzidi kutuombea ili tupate haki yetu ya msingi katika Shauri hili,Faki Hassan kny ya walalamikaji.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Wananchi jimbo la Mafia wafungua kesi Mahakama kuu kupinga ushindi wa Mbaraka Dau!!
Wananchi jimbo la Mafia wafungua kesi Mahakama kuu kupinga ushindi wa Mbaraka Dau!!
http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/wamafia.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/wananchi-jimbo-la-mafia-wafungua-kesi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/wananchi-jimbo-la-mafia-wafungua-kesi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago