Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakifanya usafi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni kutekeleza agizo...

 Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakifanya usafi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kufanyika kwa usafi wa mazingira nchi nzima ikiwa ni maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakifanya usafi wa mazingira leo katika soko la samaki la Feri ikiwa ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli la kufanyika kwa usafi wa mazingira nchi nzima ikiwa ni maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  Dk.Donan Mmbando   akiongea na wafanyakazi wa wizara hiyo mara baada ya kumalizika kwa kazi ya  kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi wa wizara hiyo walifanya usafi  katika mahabusu ya watoto Kisutu, Makazi ya Wazee ya Nunge, Taasisi za Mifupa MOI na Saratani ya Ocean Road, Hospital ya Taifa Muhimbili, Masoko ya Kariakoo na Feri, na Mbagala Zakhem.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akiongea na waandishi wa Habari waliofika katika soko la samaki la Feri jijini Dar es Salaam kuona jinsi usafi wa mazingira ulivyokuwa unafanyika sokoni hapo.
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa na nyuso za furaha mara  baada ya kumaliza kazi ya  kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi wa wizara hiyo walifanya usafi .Picha na Anna Nkinda – Maelezo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM
WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM
http://3.bp.blogspot.com/-cxufrmNwt-Y/VmhZ28MWcEI/AAAAAAADcCk/DUHjA6NFYSI/s640/WI1.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-cxufrmNwt-Y/VmhZ28MWcEI/AAAAAAADcCk/DUHjA6NFYSI/s72-c/WI1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/wafanyakazi-wa-wizara-ya-afya-na-ustawi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/wafanyakazi-wa-wizara-ya-afya-na-ustawi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago