Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI

 Kushoto ni Mwanasheria wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Veronica Hillary, Mkuu wa Idara ya Upasuaji,  Dk Julieth Magandi, Mkuru...

 Kushoto ni Mwanasheria wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Veronica Hillary, Mkuu wa Idara ya Upasuaji,  Dk Julieth Magandi, Mkurugenzi wa Upasuaji, Dk John Kimario na Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithnashery Jamaat ya jijini Dar es Salaam, Dewji Azim wakifanya usafi leo Desemba 9 ambayo ni siku ya kuadhimisha Uhuru wa Tanzania. Usafi huo umefanyika katika Jengo la Kibasila.
VE3
   Mkurugenzi wa Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk John Kimario akisomba takataka ikiwa ni sehemu ya kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufuli kwamba leo Desemba 9, siku ya Uhuru watu wote wajumuike kufanya usafi.
VE1
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakifanya usafi leo nje ya jengo la Kibasila akiwamo Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithnashery Jamaat ya jijini Dar es Salaam, Dewji Azim (katikati).
 Mkurugenzi wa Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk John Kimario akisomba takataka ikiwa ni sehemu ya kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufuli kwamba leo Desemba 9, siku ya Uhuru watu wote wajumuike kufanya usafi.
 Mwenyekiti wa Khoja Shia Ithnashery Jamaat ya jijini Dar es Salaam, Dewji Azim akifanya usafi leo katika hospitali hiyo
 Mkuu wa Idara ya Sheria, Veronica Hillary, Ofisa Uhusiano Msaidizi, John Stephen, Mkurugenzi wa Upasuaji, Dk John Kimario na Mkuu wa Idara ya Upasuaji, Dk Julieth Magandi wakijumuika pamoja kufanya usafi leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ikiwa ni kuitikia agizo la Rais John Pombe Magufuli la kufanya usafi leo Desemba 9, siku ya Uhuru.
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha (wa pili kulia) akishiriki kufanya usafi katika hospitali hiyo leo Desemba 9, 2015.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI
WAFANYAKAZI HOSPITALI YA MUHIMBILI WAFANYA USAFI
http://2.bp.blogspot.com/-SM1BD8rNsq4/VmhmM6aTGqI/AAAAAAADcHM/fNdxGZdkCwM/s640/VE2.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-SM1BD8rNsq4/VmhmM6aTGqI/AAAAAAADcHM/fNdxGZdkCwM/s72-c/VE2.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/wafanyakazi-hospitali-ya-muhimbili.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/wafanyakazi-hospitali-ya-muhimbili.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago